MATIBABU YA FISTULA NA MSAMBA BURE – HOSPITALI TEULE YA WILAYA YA BIHARAMULO

Tarehe: 20/02/2026 hadi 27/02/2026 Chama cha Madaktari wa Upasuaji wa Fistula Tanzania (AOFST) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Hospitali Teule ya Wilaya ya Biharamulo, Mkoa wa Kagera na Shirika la Fistula Foundation, wanatarajia kutoa matibabu ya fistula na kuchanika msamba katika Hospitali ya Wilaya ya Biharamulo, kuanzia tarehe 20/02/2026 hadi tarehe 27/02/2026. Matibabu haya […]